myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeKabla ya Kumdhuru Mtu,Fikiria kwanza Je,ni Wangapi wanaomtegemea.?
AiseeKabla ya Kumdhuru Mtu,Fikiria kwanza Je,ni Wangapi wanaomtegemea.?
SawaUSIOGOPE chochote alichopanga Mungu kwenye Maisha yako lazima kitimie kwa namna yoyote ile hakuna anayeweza Kumzuia Mungu asikubariki
SawasawaYule mwanaume unayemuita mlinzi wa Geti,Mfagia barabara ndie huyo huyo
akiwa nyumbani kwake anaitwa "baba angu",mume wangu", bby wangu" acha epuka kuwa na dharau
KweliKadri unavozidi kuwatangazia watu Malengo na Mafanikio yako ndipo Unapozidi kuongeza Idadi kubwa ya Maadui katika Maisha yako Jifunze kuwa Mkimya
SawasawaYule mwanaume unayemuita mlinzi wa Geti,Mfagia barabara ndie huyo huyo
akiwa nyumbani kwake anaitwa "baba angu",mume wangu", bby wangu" acha epuka kuwa na dharau
SawasawaKadri unavozidi kuwatangazia watu Malengo na Mafanikio yako ndipo Unapozidi kuongeza Idadi kubwa ya Maadui katika Maisha yako Jifunze kuwa Mkimya
Sawa piaKadri unavozidi kuwatangazia watu Malengo na Mafanikio yako ndipo Unapozidi kuongeza Idadi kubwa ya Maadui katika Maisha yako Jifunze kuwa Mkimya
SawaIpo siku Mungu atabadilisha Majira na nyakati zako ngumu kuwa baraka kwako ile Huzuni na Machozi yako yatageuka kuwa furaha kwako Usiache kumuamini kila wakati wewe ni wa Thamani sana
NakubaliNyuma ya kila unachokionea wivu,kuna Hadithi usiyoijua.Ufundishe moyo wako kukinai Usichoweza kumiliki
NakubaliNyuma ya kila unachokionea wivu,kuna Hadithi usiyoijua.Ufundishe moyo wako kukinai Usichoweza kumiliki
👍Kwenye Maisha yako Penda sana kumsaidia mtu wakati akiwa bado yupo hai,sababu rambirambi zako hazitamsaidia chochote
NakubaliUSIOGOPE chochote alichopanga Mungu kwenye Maisha yako lazima kitimie kwa namna yoyote ile hakuna anayeweza Kumzuia Mungu asikubariki
Nakubali hiliKwenye Maisha yako Penda sana kumsaidia mtu wakati akiwa bado yupo hai,sababu rambirambi zako hazitamsaidia chochote
👍👍Kwenye Maisha yako Penda sana kumsaidia mtu wakati akiwa bado yupo hai,sababu rambirambi zako hazitamsaidia chochote
SawaYule mwanaume unayemuita mlinzi wa Geti,Mfagia barabara ndie huyo huyo
akiwa nyumbani kwake anaitwa "baba angu",mume wangu", bby wangu" acha epuka kuwa na dharau
👍👍Usiache Kumuomba na Kumtegemea Mwenyezi MUNGU. Hata hao unaodhani unawategemea wanamtegemea MUNGU
👍👍👍Usiache Kumuomba na Kumtegemea Mwenyezi MUNGU. Hata hao unaodhani unawategemea wanamtegemea MUNGU
👍✔️Kitu cha kwanza kipofu kutupa siku akiona ni fimbo yake, ambayo imemuongoza miaka yote, Kwahiyo usishangae pale mtu uliyemtendea wema akikugeuka
👍✔️👍Usiache Kumuomba na Kumtegemea Mwenyezi MUNGU. Hata hao unaodhani unawategemea wanamtegemea MUNGU
Maisha yetuEeh!! MUNGU tunaomba Utuondolee roho ya Kiburi na Majivuno baada ya Kupata kile tulichokihitaji kutoka kwako.Pia tukumbushe kuwa na Fadhila kwa kila kitu Ulichokitenda kwaajili ya Maisha yetu