myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Maisha yetu....Eeh!! MUNGU tunaomba Utuondolee roho ya Kiburi na Majivuno baada ya Kupata kile tulichokihitaji kutoka kwako.Pia tukumbushe kuwa na Fadhila kwa kila kitu Ulichokitenda kwaajili ya Maisha yetu