myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kumbukumbu muhimu
Apumzike kwa amani
SawasawaAlinambia Mwanangu Mengi siyajui Lakini Jambo moja ambalo nina uhakika nalo ni Kwamba MUNGU yupo
👍👍Kuna Kipindi Kila Kitu Unachoshika KINAFELI,Kila Kazi Unayoomba UNAKOSA,Kila Mtu unayemfuata Anakukwepa,Dunia Haijawahi Kuwa FAIR Kwa Mwanaume na Haitakaaga Iwe FairSHUJAA Hupatikana Wakati wa Vita,ILAKamwe Usikate Tamaa ukafkia hatua ya Kutaka Kujiua
✔️✔️Sio kila Mtu ataunga Mkono Mipango na Ndoto zako,kwahiyo zingatia kufanya Kile kilicho Bora kwako
AiseeSio kila Mtu ataunga Mkono Mipango na Ndoto zako,kwahiyo zingatia kufanya Kile kilicho Bora kwako
Mungu yupo🙏🙏Alinambia Mwanangu Mengi siyajui Lakini Jambo moja ambalo nina uhakika nalo ni Kwamba MUNGU yupo
👍👍👍Usitamani kunijua Kupitia wengine,Huenda Usinielewe Maisha yako yote
🙏🙏Alinambia Mwanangu Mengi siyajui Lakini Jambo moja ambalo nina uhakika nalo ni Kwamba MUNGU yupo
👍👍👍Usitamani kunijua Kupitia wengine,Huenda Usinielewe Maisha yako yote
AiseeHakuna Mtu aliyefanikiwa akazungumziwa Vizuri na watu wote,Usisahau kuomba Busara za kuwa Mkimya na Mvumilivu kwa MUNGU wako Unapoomba Utajiri.
✔️✔️Hakuna Mtu aliyefanikiwa akazungumziwa Vizuri na watu wote,Usisahau kuomba Busara za kuwa Mkimya na Mvumilivu kwa MUNGU wako Unapoomba Utajiri.
AiseePamoja na Ubize wako Usisahau Kutenga Muda wa kushiriki Matukio ya kijamii kama Sherehe na Misiba,Upendo ni Nguzo Imara
✔️✔️👍Hakuna Mtu aliyefanikiwa akazungumziwa Vizuri na watu wote,Usisahau kuomba Busara za kuwa Mkimya na Mvumilivu kwa MUNGU wako Unapoomba Utajiri.
SawaHakuna Mtu aliyefanikiwa akazungumziwa Vizuri na watu wote,Usisahau kuomba Busara za kuwa Mkimya na Mvumilivu kwa MUNGU wako Unapoomba Utajiri.
AiseeKuna Kipindi Kila Kitu Unachoshika KINAFELI,Kila Kazi Unayoomba UNAKOSA,Kila Mtu unayemfuata Anakukwepa,Dunia Haijawahi Kuwa FAIR Kwa Mwanaume na Haitakaaga Iwe FairSHUJAA Hupatikana Wakati wa Vita,ILAKamwe Usikate Tamaa ukafkia hatua ya Kutaka Kujiua