myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Maisha yetu....Eeh!! MUNGU tunaomba Utuondolee roho ya Kiburi na Majivuno baada ya Kupata kile tulichokihitaji kutoka kwako.Pia tukumbushe kuwa na Fadhila kwa kila kitu Ulichokitenda kwaajili ya Maisha yetu
SawasawaEeh!! MUNGU tunaomba Utuondolee roho ya Kiburi na Majivuno baada ya Kupata kile tulichokihitaji kutoka kwako.Pia tukumbushe kuwa na Fadhila kwa kila kitu Ulichokitenda kwaajili ya Maisha yetu
SawasawaUSIPOTEZE usingizi wako kwa watu wanaolala kwa FURAHA Baada ya kukuumiza
Sawa piaUkiwa katika nafasi ambapo kauli yako au jitihada zako kidogo zinaweza kumpa mtu ulaji wa maisha tafadhali fanya tena bila kutegemea malipo kutoka kwa huyo mtu. Kuna namna Mungu anaonyesha ukuu wake kupitia watu uliowatendea mazur
✔️👍✔️Ukiwa katika nafasi ambapo kauli yako au jitihada zako kidogo zinaweza kumpa mtu ulaji wa maisha tafadhali fanya tena bila kutegemea malipo kutoka kwa huyo mtu. Kuna namna Mungu anaonyesha ukuu wake kupitia watu uliowatendea mazur
SawaUkiwa katika nafasi ambapo kauli yako au jitihada zako kidogo zinaweza kumpa mtu ulaji wa maisha tafadhali fanya tena bila kutegemea malipo kutoka kwa huyo mtu. Kuna namna Mungu anaonyesha ukuu wake kupitia watu uliowatendea mazur
SawasawaUkiwa katika nafasi ambapo kauli yako au jitihada zako kidogo zinaweza kumpa mtu ulaji wa maisha tafadhali fanya tena bila kutegemea malipo kutoka kwa huyo mtu. Kuna namna Mungu anaonyesha ukuu wake kupitia watu uliowatendea mazur
UjumbeYule mwanaume unayemuita mlinzi wa Geti,Mfagia barabara ndie huyo huyo
akiwa nyumbani kwake anaitwa "baba angu",mume wangu", bby wangu" acha epuka kuwa na dharau
👍👍✔️Kitu cha kwanza kipofu kutupa siku akiona ni fimbo yake, ambayo imemuongoza miaka yote, Kwahiyo usishangae pale mtu uliyemtendea wema akikugeuka
AiseeUshawahi kuamkiwa na watoto wenzako wakidhani wewe ni mkubwa zaidi kwao?
View attachment 2979372
SawaKitu cha kwanza kipofu kutupa siku akiona ni fimbo yake, ambayo imemuongoza miaka yote, Kwahiyo usishangae pale mtu uliyemtendea wema akikugeuka
SawaNjia nzuri ya Kuithamini Leo,Ni kuangalia nyakati ngumu zilizopita na Mungu akakuvusha.
AiseeTunapitia maisha ya fedhea na aibu sana kipindi tunajitafuta. Ukifanikiwa usiache kufurahi na kujipongeza kadri uwezavyo
SawasawaTunapitia maisha ya fedhea na aibu sana kipindi tunajitafuta. Ukifanikiwa usiache kufurahi na kujipongeza kadri uwezavyo
AiseeTunapitia maisha ya fedhea na aibu sana kipindi tunajitafuta. Ukifanikiwa usiache kufurahi na kujipongeza kadri uwezavyo