myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaUgumu wa maisha unayoishi usikufanye kukata tamaa,Amini ipo siku utatusua, kikubwa fanya kazi kwa malengo huku ukimuomba Mungu Abariki kazi ya Mikono Yako!.
Sawasawa ✔️Kitendo cha kuamka tu asubuhi ni ishara ya kuwa wewe ni mshindi. Maana nia thabiti ya mafanikio itasimama upya ukiwa hai.Tumia fursa aliyokupa Mungu ya kuwa hai leo ktk kupambania ndoto na malengo yako, huku ukiwa na imani kuwa one day yes. Anzia ulipoishia jana.
Ujumbe ✔️ ✔️Kitendo cha kuamka tu asubuhi ni ishara ya kuwa wewe ni mshindi. Maana nia thabiti ya mafanikio itasimama upya ukiwa hai.Tumia fursa aliyokupa Mungu ya kuwa hai leo ktk kupambania ndoto na malengo yako, huku ukiwa na imani kuwa one day yes. Anzia ulipoishia jana.
Usahihi huo...Fata malengo ya maisha yako na usihangaike na binadamu
Ni kweliUkitaka Kufanikiwa Usiangalie Ukubwa Wa Changamoto Ila Tazama Ukubwa Wa Ndoto Zako
SawaHakikisha una rafiki yoyote anaye kuambia ukweli, Sio hawa wa Tajiri umepoa, Tajiri huna Baya. Wewe utakua ni mtu gani usiye na Baya
📌jitahidi kuwa mvumilivu, Zingatia malengo yako, pambana sana maisha mazuri hayaji Kirahisi
SawaHakikisha una rafiki yoyote anaye kuambia ukweli, Sio hawa wa Tajiri umepoa, Tajiri huna Baya. Wewe utakua ni mtu gani usiye na Baya
Nii kweliUtadharauliwa na uliowaamini, utaangushwa na uliowabeba, yatasemwa mabaya yako na wale uliojitoa kwaajili yao.Hii sio mitihani ya maisha, Bali ni MAISHA YENYEWE
📌📌📌Utadharauliwa na uliowaamini, utaangushwa na uliowabeba, yatasemwa mabaya yako na wale uliojitoa kwaajili yao.Hii sio mitihani ya maisha, Bali ni MAISHA YENYEWE
Ujumbe ✔️jitahidi kuwa mvumilivu, Zingatia malengo yako, pambana sana maisha mazuri hayaji Kirahisi