Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
βοΈBwana Cocq alisema Facebook ilikuwa ikizuia matangazo yake. Amewataka watu wanaomuunga mkono kuishawishi Facebook ibadili msimamo wake.
''Ni juu yenu sasa,'' alisema.
βοΈSuala la kukatisha uhai ni maada tata nchini humo, huku wengi wakiunga mkono haki ya kufa kwa hiari, wakati wengine hasa makundi ya kidini wakipinga suala hilo
βοΈβοΈBwana Cocq aliandika barua kwa Rais Macron, akiomba aruhusiwe kufa ''kwa hiari yake,'' akielezea ''maumivu makali anayoyapata''.
Bwaana Macron amesema ''ameguswa'' na barua hiyo, lakini hawezi kumpa ruhusa hiyo kwa kuwa ''hayuko juu ya sheria''.
βοΈβοΈβοΈLakini Facebook imezuia mpango huo wa kurusha moja kwa moja kifo chake, ikisema kuwa hairuhusu kuonesha matukio ya kujitoa uhai.
''Ingawa tunaheshimu uamuzi wa Bwana Cocq kutokana na ushauri wa kitaalamu tumechukua hatua kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya suala la Alain,'' Msemaji wa Facebook ameliambia shirika la habari nchini humo AFP .
βοΈβοΈNinajua siku kadhaa mbele zitakuwa ngumu lakini nimefanya uamuzi na niko na utulivu,'' aliongeza.
Bwaba Cocq ugonjwa ambao umeathiri tishu na viungo, ambao umesababisha kuta za mishipa ya ateri kushikana.
AiseeNjia ya ukombozi inaanza na niamini , nina furaha,'' Bwana Cocq alichapisha maneno hayo kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook mapema siku ya Jumamosi asubuhi akiwa kitandani nyumbani kwake mjini Dijon baada ya kutangaza kuwa 'amemaliza mlo wake wa mwisho'.
SawaBwana Cocq anataka sheria ibadilishwe nchini Ufaransa ili kuruhusu watu walio kwenye maumivu makali kufa kama watakavyopenda. Makundi mengine, ikiwemo Kanisa Katoliki,linapinga kukatisha uhai wa mtu kwa mujibu wa maadili ya kanisa hilo.
πAlain Cocq mwenye umri wa miaka 57, alipanga kupeperusha moja kwa moja maisha yake ya siku za mwisho baada ya kuanza kukataa chakula, kunywa chocchote na kumeza dawa
ππFacebook imesema itamzuia Mfaransa mmoja ambaye anaugua ugonjwa ambao hauna tiba kurusha moja moja kifo chake kwenye mtandao huo wa kijamii.
πππ
Duh
Nyasi sasa...