myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
UjumbeEndelea kupambana kumbuka wakati wako Utafika na wewe Mema yatakutembelea Endelea kusubiri Tambua kilicho Bora Huja kwa wakati sahihi kamwe Usikate Tamaa
✔️✔️Ukipata Nafasi ya kufurahia Maisha furahi,Kifo Hakiepukiki
SawaUkipata Nafasi ya kufurahia Maisha furahi,Kifo Hakiepukiki
SwadaqtaChangamoto nyingi za Maisha zinatufanyaga watu tunaowapenda washindwe kuwa na sisi pengine Rizki,pengine kazi Tuseme kwa kiasi kikubwa ni Pesa na Maisha fulani ambayo wenzetu wanayapenda sio wote Baadhi yao
Ujumbe ✔️Endelea kupambana kumbuka wakati wako Utafika na wewe Mema yatakutembelea Endelea kusubiri Tambua kilicho Bora Huja kwa wakati sahihi kamwe Usikate Tamaa
Pia Ujumbe huoChangamoto nyingi za Maisha zinatufanyaga watu tunaowapenda washindwe kuwa na sisi pengine Rizki,pengine kazi Tuseme kwa kiasi kikubwa ni Pesa na Maisha fulani ambayo wenzetu wanayapenda sio wote Baadhi yao
🙏🙏Wakati hujui lolote la kufanya MUNGU anaweza kukufanyia lolote la kushangaza Usichoke kumuomba
SawaWakati hujui lolote la kufanya MUNGU anaweza kukufanyia lolote la kushangaza Usichoke kumuomba
Sawa piaWakati hujui lolote la kufanya MUNGU anaweza kukufanyia lolote la kushangaza Usichoke kumuomba
Tafuta pesa.......Ukiona Mpenzi wako Hakutafuti siku nzima Achana naye Tafuta Pesa
KweliUkiona Mpenzi wako Hakutafuti siku nzima Achana naye Tafuta Pesa
✔️✔️Tulipokuwa Wadogo Malengo yetu yalikuwa tukiwa na Umri fulani Tuwe na Maisha bora.Siku hizi Maombi na Sala zimebadilika.Tunaomba Tufike tukiwa hai Tu
👍👍👍Nyakati Ngumu huja ili kutuonyesha kwamba Sio kila nguzo iliyosimama inafaa kuegemewa
✔️👍✔️Walimwengu mtuombee Mema maana hatuna kitu cha kurithi nyumbani kwetu zaidi ya taabu na dhiki zinazokabili Familia zetu.
KweliInawezekana sio leo wala kesho,Inawezekana sio mwaka huu wala Mwaka Hujao ila ninachokiamini Ipo siku Nitafanikiwa Tu,kila Kitu kitakua sawa
Nakubali piaInawezekana sio leo wala kesho,Inawezekana sio mwaka huu wala Mwaka Hujao ila ninachokiamini Ipo siku Nitafanikiwa Tu,kila Kitu kitakua sawa