mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaAsante mchina wa kibiti
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Wasi wasi wa nini mdogo wangu,mimi mwendo wangu wa chatu,ni kutambaa tu.Vijana vichwa vyenu viko juu muda wote utadhani kobra,nitawaweza???? Hapo unashituka baya liko wapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]We mzee ww daah
Kuna mtu wakati ulee alipaliwa na asali akashindwa hata kufanya interview na BBC.
Hahahahahaha
Ni yule muhenga aliyesema "Jungu kuu halikosi ukoko".
Aisee magu anajua kunyoosha watu, huu msosi juzi juzi nilinunuaga kwa 35,000... leo msosi ule ule nimeuziwa kwa 15,000. Hoteli hazina wateja tena.
Methali hizi zinabadilika badilika kulingana na mabadiliko katika jamii. Kwa mfano, kama unawaonya vijana kuhusu janga la UKIMWI sidhani kama utawaambia fuata nyuki ule asali. Pengine utasema kama alivyosema Coco hapa. Au...Fuata nyuki urudi na manundu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Nyuki ni hatari hasa usipokuwa na dhana sahihi za kuwakabili japo pia inategemea na aina ya nyuki. Kuna hawa wa kisasa hawa wako docile wala hawaumi....na asali yao inasemekana siyo tamu kivile na haina thamani sana [emoji23][emoji23][emoji23]Ule msemo wanaosema "fuata nyuki ule asali"mbona ka unapishana na huu?naomba ufafanuzi kama hautojali
Kweli wahini si watuBwana mdogo kaamua kujimwaga mazimaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Et umesemaaaa??[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wasi wasi wa nini mdogo wangu,mimi mwendo wangu wa chatu,ni kutambaa tu.Vijana vichwa vyenu viko juu muda wote utadhani kobra,nitawaweza???? Hapo unashituka baya liko wapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mhhhh kuna kaukweli hapoHaving sex at least once per week can lower a man’s risk of heart disease by 30%, stroke by 50%, and diabetes by 40%. It has also been shown that men with an active sex life are more likely to live past 80 years.
Eeeeeeh nazimwaga tu,,,Andika upewe
Naona upo vizuri ktk kutoa
[emoji120] [emoji120]Methali hizi zinabadilika badilika kulingana na mabadiliko katika jamii. Kwa mfano, kama unawaonya vijana kuhusu janga la UKIMWI sidhani kama utawaambia fuata nyuki ule asali. Pengine utasema kama alivyosema Coco hapa. Au...Fuata nyuki urudi na manundu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Nyuki ni hatari hasa usipokuwa na dhana sahihi za kuwakabili japo pia inategemea na aina ya nyuki. Kuna hawa wa kisasa hawa wako docile wala hawaumi....
Walaaaaa....sina ubaya na mtu mimi.Hata baadae njoo,huyo anakuganda ana hisa zote juu yako?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] dooooh!ikifika zamu yangu ntajisogeza kwako[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bila shaka utakuwa unamkumbuka [emoji23][emoji23][emoji23]. Walimwondoa kwenye interview...Duh
Aliponaje
Tutafanyaje ss andjul tunaishi Mara moja wacha tupendane na mpenz wangu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Yaaani wengine ni mikopa kopa tuuu,yaani nyie ni kupeana mikopa mwanzo mwisho!!!! Haya buana,lakini yana mwisho hayooo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Walaaaaa....sina ubaya na mtu mimi.Hata baadae njoo,huyo anakuganda ana hisa zote juu yako?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata kutaniana kusingekuwepo kabisa.**** level za watu humu ingetokea ukakutana nao hata kwa kidunchu huwezi kuwasogelea
Rooney tenaEverton 1 Rooney// GorMahia 0
YapGr8 kwa kweli