Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ingekuwa ni kweli wanaume wa Kiafrika wangekuwa hawafi mapema [emoji23][emoji23][emoji23]Having sex at least once per week can lower a man’s risk of heart disease by 30%, stroke by 50%, and diabetes by 40%. It has also been shown that men with an active sex life are more likely to live past 80 years.
Cole ndio nani[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]Dua la kuku hilo ujue?[emoji173] [emoji173] [emoji173] naomba nisaidie kupeleka hayo makopa kwa cole puliiiiziii[emoji23] [emoji23]
ThotAnother beautiful Thursday evening
Ati nini?Thot
We muite tu utamuona[emoji23] [emoji23] [emoji23]Cole ndio nani[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
Cole williamsCole ndio nani[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
ThanksThanks
Mzee wa liverRooney tena
Pole sana ugua upone,mungu akufanyie wepesi upone haraka...Nawamis sana, siku mbili hz nimekuwa nasumbuliwa na homa ndio maana naingia humu kwa kusua sua sana
Afrika kuna mifumo mibaya ya afya! Ndio maana unaona kama ukweli uko mbali..MTU anaweza kulalia pombe badala ya chakula!!Ingekuwa ni kweli wanaume wa Kiafrika wangekuwa hawafi mapema [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ushabiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi unaacha?unaachwa?au una kimbiwa?[emoji125] [emoji125]
Pole sana,Nawamis sana, siku mbili hz nimekuwa nasumbuliwa na homa ndio maana naingia humu kwa kusua sua sana
Amina mamaPole sana ugua upone,mungu akufanyie wepesi upone haraka...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] me nimeuliza tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nijibu basiAcha ushabiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana. Pia umezushiwa eti umeolewa na mwanaume mpya na umemtosa Andjul. Ni kweli? Kama ni kweli mbona mahari wanaukoo hatujapata?Nawamis sana, siku mbili hz nimekuwa nasumbuliwa na homa ndio maana naingia humu kwa kusua sua sana
Asante sana shemejiPole sana,
Mungu akupe wepesi.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app