myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeHii itasababisha mabadiliko kwa viumbe vidogo vya baharini wanaokula phytoplankton, huku utajiri wa spishi ukitarajiwa kupungua na kuongezeka kwa joto la bahari, na kusababisha athari zaidi katika chakula na samaki wanaotegemea viumbe hawa.
📌📌“Alipokuwa akijifunza kutambaa, nilitandika kipande cha turubai sakafuni na kumwaga rangi juu yake kama njia ya kumfanya awe na shughuli nyingi huku nikiendelea na kazi zangu za uchoraji,” - Mama mzazi wa Ace-Liam
Duh,!!!!Tani kati ya mia tatu na mia nne za dhahabu za thamani ya hadi dola bilioni thelathini na tano zinazozalishwa katika migodi midogo hazijulikani zinakoishia kila mwaka.
📌📌Vipimo vya satelaiti vinaendana na kile kinachoonekana kwenye taarifa yake," anasema. "Kwa hivyo, mabadiliko tunayoyaona katika ulimwengu yana uwezekano ni kutokana na mabadiliko ya tabia nchi yanayosababishwa na binadamu."
AiseeUtafiti wa Cael, ambao uliongeza data ya setilaiti, ulipanua wigo zaidi. Dutkiewicz, ambaye pia alifanya kazi katika utafiti wa Cael, anasema ripoti ya hivi karibuni inathibitisha utabiri wake.
✔️Mwaka 2019, Dutkiewicz alitumia kompyuta kutabiri mabadiliko ya baadaye katika rangi ya bahari. Hata hivyo, ilikuwa vigumu kubainisha ikiwa hilo lilitokana na mabadiliko ya hali ya hewa au mifumo ya kawaida ya bahari.
✔️✔️Hii inathibitisha nadharia katika ripoti ya awali ya Stephanie Dutkiewicz, mwanasayansi wa bahari kutoka taasisi ya MIT na Kituo cha Global Change Science..
Aisee...Tunaona mabadiliko katika mabonde yote makubwa ya bahari - kwenye Pasifiki, Atlantiki na [bahari] za Hindi. Haya ni mabadiliko makubwa ya kimataifa ambayo tunaona," anasema B B Cael, mwanasayansi kutoka National Oceanography Centre huko Southampton, Uingereza.
SawaTunaona mabadiliko katika mabonde yote makubwa ya bahari - kwenye Pasifiki, Atlantiki na [bahari] za Hindi. Haya ni mabadiliko makubwa ya kimataifa ambayo tunaona," anasema B B Cael, mwanasayansi kutoka National Oceanography Centre huko Southampton, Uingereza.
SawaMiongo miwili ya kutumia satelaiti za Nasa pamoja na wanasayansi kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts (MIT), waligundua kuwa zaidi ya nusu ya eneo la bahari duniani - 56% - limebadilika rangi. Eneo hili ni kubwa kuliko ardhi yote ya dunia.
AiseeRipoti hiyo inaangazia kipindi cha kati ya mwaka 2012 na 2022 na inajikita katika data zilizokusanywa kutoka nchi 54
SawaIngawa baadhi ya maji yanazidi kuwa ya kijani kibichi, hasa karibu na ikweta, mengine yanakua bluu zaidi huku halijoto duniani likiongezeka.
AiseeMiongo miwili ya kutumia satelaiti za Nasa pamoja na wanasayansi kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts (MIT), waligundua kuwa zaidi ya nusu ya eneo la bahari duniani - 56% - limebadilika rangi. Eneo hili ni kubwa kuliko ardhi yote ya dunia.
SawasawaUchambuzi wa BBC News wa halijoto ya bahari iliokusanywa na taasisi ya Copernicus - umefichua kuwa bahari duniani zinakabiliwa na ongezeko la joto. Ilionyesha kuwa joto baharini lilizidi kila siku katika mwaka uliopita.
DuhRipoti ya hivi karibuni ya Hali ya Hewa huko Ulaya, iliyochapishwa Aprili 2024 na European Union's Copernicus Climate Service, ilifichua mabadiliko katika bahari; rangi ya kijani iko kwa 200-500% kuliko kawaida katika bahari ya Norway na Bahari ya Altantic kaskazini mwa Uingereza mwezi Aprili 2023.
AiseeMkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta yuko kwenye mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu kandarasi mpya ambayo itamfanya awe mmoja wa makocha wanaolipwa pesa nyingi zaidi kwenye Ligi Kuu. (Mail)
📌📌Inakadiriwa kuwa karibu asilimia arobaini ya dhahabu ya Afrika husafirishwa nje ya bara hilo kimagendo na kiwango kimeongezeka mara mbili katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.