myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππTumshukuru Kwa Afya njema anazotujalia
π€²πTumshukuru Kwa Wema wake
π€²ππ€²Tumshukuru Kwa Upendo wake
πππ€²Zaidi ya kumwabudu yeye Mola wetu
ππWengi walitamani kuiona siku hii ya leo
π€²π€²π€²Tumshukuru mwenye enzi mkuu Muumba wetu
Safiiiii βοΈ βοΈ