myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️South Korea
View attachment 3005316
✔️✔️South Korea
View attachment 3005316
Aisee"Tropicana"
Lebel ya sigara.
Miaka 70 na 80.
Mtaa wa Nkrumah ulifurika mahatol ya aina hiyo
View attachment 3005348
SawaGwaride la heshima kwa rais wa Tanzania mh Samia Suluhu Hassan nchini KoreaView attachment 3005320
SawaMh rais Samia Suluhu Hassan akiwasalimia watanzania wanaoishi Korea Kusini waliofika kumlaki
View attachment 3005321
Siasa hizi!!!!
✔️✔️Na acheni dhambi za dhahiri na zilizofichika. Hakika wale wanaochuma dhambi watalipwa kwa yale waliyokuwa wakiyachuma.
📌📌Na wala msile katika ambavyo halikutajwa Jina la Allaah (wakati wa kuchinjwa), kwani huo ni ukiukaji wa utiifu kwa Allaah. Na hakika mashaytwaan wanawashawishi marafiki wao wandani wabishane nanyi. Na kama mtawatii basi hakika mtakuwa washirikina.
📌📌Tunawakumbusha kuwa tunapitia MAGUMU na MIOYO yetu inavuja DAMU kutokana na MAPAMBANO yetu ya kutafuta MKATE wa kila SIKU ni vile TABASAMU ndo SILAHA yetu kuu ndo mana TUNAONEKANA MATAJIRI wakubwa ilihali kwa ground TUMEPIGIKA
📌📌📌Tunawakumbusha kuwa tunapitia MAGUMU na MIOYO yetu inavuja DAMU kutokana na MAPAMBANO yetu ya kutafuta MKATE wa kila SIKU ni vile TABASAMU ndo SILAHA yetu kuu ndo mana TUNAONEKANA MATAJIRI wakubwa ilihali kwa ground TUMEPIGIKA