myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KweliMwambie Mungu shida zako, yeye hato screenshot.Lia na malaika wako, wao hawataenda kukutangaza kwenye ma group usiyokuepo.Mnyenyekee aliyekuumba, yeye hatokuona chawa wa mtandaoni.Usiwafurahishe wanaopenda maumivu yako