Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini kufuatia idhinisho kutoka kwa serikali kuhusu mpango huo, Bwana de Jonge alisema atatayarisha kanuni mpya kwa ajili ya kitendo hicho.

Alisema utafiti uliofanywa na wataalamu ulionesha umuhimu wa kubadilishwa kwa sheria hiyo.
 
Alisema utafiti uliofanywa na wataalamu ulionesha umuhimu wa kubadilishwa kwa sheria hiyo.

"Utafiti ulionesha kuna umuhimu wa maisha kukatizwa miongoni mwa madaktari na wazazi wa watoto wanaougua magonjwa yasio na tiba, ambao wanapata tabu bila usaidizi wowote na hatimaye watakufa tu siku zijazo," Bwana de Jonge alisema katika barua aliyoiwasilisha bungeni.
 
Aliongeza kwamba utafiti huo unaonesha karibu watoto watano hadi 10 kwa mwaka wataathirika kwa sheria hiyo iliyobadilishwa.

Sheria za sasa hazitabadilishwa lakini madaktari hawatashtakiwa kwa kutekeleza mauaji ya huruma kwa mtu ambaye umri wake ni kati ya kundi lililotajwa.
 
Back
Top Bottom