myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ujumbe ✔️Mwanangu Dunia haijawahi kuwa tamu kwa Mnyonge,Magumu ya maisha hayapaswi kukufanya ukate tamaa,Ukubwa ni pamoja na kutambua kuwa hakuna yeyote atakaekuja kukutia moyo kwenye Mazito ya Maisha yako.