myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππJe, aliyekuwa maiti kisha Tukamhuisha na Tukamjaalia nuru anatembea nayo kati ya watu, ni sawa na yule ambaye yumo katika viza hawezi kutoka humo Hivyo ndivyo walivyopambiwa makafiri yale waliyokuwa wakiyatenda.
πKuna muda katika maisha inabidi UNYIMWE ili upate hasira ya kufanikiwa na Kujipambania
πππBasi yule ambaye Allaah Anataka kumhidi, Humfungulia kifua chake kwa Uislamu. Na yule ambaye Anataka kumpotoa, Hufanya kifua chake kiwe na dhiki chenye kubana kama kwamba anapanda kwa tabu mbinguni. Hivyo ndivyo Allaah Anavyojaalia adhabu (au Anavyowasalitishia shaytwaan) kwa wale wasioamini.
βοΈβοΈβοΈNa inapowajia Aayah (Muujiza, Ushahidi bayana) husema: Hatutoamini mpaka tupewe mfano wa yale waliopewa Rusuli wa Allaah. Allaah Anajua zaidi wapi Aweke Ujumbe Wake. Utawasibu wale waliohalifu udhalilifu mbele ya Allaah na adhabu kali kwa sababu ya makri (njama) walizokuwa wakifanya.
βοΈβοΈβοΈ
SawaWatu Wakichoka Kusikiliza Shida Zako Mrudie Mungu Yeye Husikiliza Na Kutujibu Bila Kuchoka.
βοΈUsitumie nguvu na muda wako kuwarudisha watu ambao Mungu aliwaondoa makusudi katika maisha yako ili kukuacha ufanikiwe
βοΈβοΈUsitumie nguvu na muda wako kuwarudisha watu ambao Mungu aliwaondoa makusudi katika maisha yako ili kukuacha ufanikiwe
βοΈβοΈβοΈUsitumie nguvu na muda wako kuwarudisha watu ambao Mungu aliwaondoa makusudi katika maisha yako ili kukuacha ufanikiwe
βοΈπUsitumie nguvu na muda wako kuwarudisha watu ambao Mungu aliwaondoa makusudi katika maisha yako ili kukuacha ufanikiwe
πβοΈβοΈUsitumie nguvu na muda wako kuwarudisha watu ambao Mungu aliwaondoa makusudi katika maisha yako ili kukuacha ufanikiwe