moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
πWeekend njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga, weekend inaaga
πWeekend njema walezi wa familia zetu
πWeekend njema mamalishe wote, maandalizi ya kesho
πWeekend njema wadau wa daladala bajaji bodaboda na kwenye vivuko, Weekend inaaga
πWeekend njema wadau wa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini, maandalizi ya kesho..
πWeekend njema wadau wa maofisini..Weekend inaaga
πMungu atupe afya na uzima π€² π
Mungu awaponye wagonjwa π€² π
Mungu atupe usiku wenye amani na utulivu π π€²
AminMungu atupe baraka zakeππ