Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ikiwa hatimaye tutakufa, kwanini basi tulizaliwa? Tulizaliwa tufe au tulizaliwa tuishi? Kama kufa ni lazima, basi kufurahia maisha ni utashi. Yape maisha yako kusudi kisha liishi kusudi hilo. Hakika, tutakufa siku moja, lakini tunatumiaje zile siku nyingine tutakazokuwa hai?
 
Matatizo yetu mengi kwenye maisha yanatokana na misimamo yetu. Sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Hapana” tukasema “Ndio”. Na sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Ndio” tukasema “Hapana”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…