myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
βοΈβοΈ"Ukitaka kumjua mtu anayestahiki kuishi ndani ya moyo wako, basi angalia ni nani anayekufanya uyaone maisha kuwa ni mazuri, licha ya ugumu wake.
βοΈβοΈβοΈKila binadamu anayo shida ambayo hakuna anaejua, nyuma ya vicheko na tabasamu kuna majeraha makubwa, na nyuma ya maisha mazuri ya mtu kuna vitu amenyimwa na amevikosa."
SawaUnaweza kutweza utu wa mtu mliyetofautiana lakini kesho mkakubaliana. Unaweza kupambana kumdhalilisha mtu leo lakini kesho ukafanya yale yale uliyomdhalilisha nayo. Uimara ni kutofautiana na mtu na bado ukaendelea kumheshimu na hata kulinda haki yake ya kutofautiana na wewe."
πKila binadamu anayo shida ambayo hakuna anaejua, nyuma ya vicheko na tabasamu kuna majeraha makubwa, na nyuma ya maisha mazuri ya mtu kuna vitu amenyimwa na amevikosa."
ππKila binadamu anayo shida ambayo hakuna anaejua, nyuma ya vicheko na tabasamu kuna majeraha makubwa, na nyuma ya maisha mazuri ya mtu kuna vitu amenyimwa na amevikosa."
πππUnaweza kutweza utu wa mtu mliyetofautiana lakini kesho mkakubaliana. Unaweza kupambana kumdhalilisha mtu leo lakini kesho ukafanya yale yale uliyomdhalilisha nayo. Uimara ni kutofautiana na mtu na bado ukaendelea kumheshimu na hata kulinda haki yake ya kutofautiana na wewe."

β οΈβ οΈMpende unayempenda lakini acha nafasi, inawezekana siku moja atakukera. Na mchukie mtu unavyotaka kumchukia lakini weka nafasi, yawezekana siku ukamuhitaji
βοΈβοΈKumlipa wema aliyekutendea wema huo ni uungwana. Lakini kumtendea wema anayekuchukia, aliyekutendea ubaya, ni kiwango cha juu kabisa cha utu." ~
β οΈβ οΈMpende unayempenda lakini acha nafasi, inawezekana siku moja atakukera. Na mchukie mtu unavyotaka kumchukia lakini weka nafasi, yawezekana siku ukamuhitaji
ππMchana mwema