myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Uvumilivu muhimuWakikuomba pesa ili wakupime upendo wako, na wewe wanyime ili uwapime uvumilivu wao."
DuhUhalisia wa mtu huanikika akifurahi ama akivurugwa. Ukitaka kumjua wema wake kiundani, mfurahishe, ukitaka kujua ubaya wake kwa undani, mvuruge!
SawasawaMara nyingi watu wenye uaminifu mkubwa hupata maumivu makubwa.
KweliMara nyingi watu wenye uaminifu mkubwa hupata maumivu makubwa.
SahihiUsipochukua hatua ya kuyaumba matukio katika maisha basi ujiandae matukio ya maisha kukuumba wewe
Sawa piaUsipochukua hatua ya kuyaumba matukio katika maisha basi ujiandae matukio ya maisha kukuumba wewe
UjumbeIkiwa hatimaye tutakufa, kwanini basi tulizaliwa? Tulizaliwa tufe au tulizaliwa tuishi? Kama kufa ni lazima, basi kufurahia maisha ni utashi. Yape maisha yako kusudi kisha liishi kusudi hilo. Hakika, tutakufa siku moja, lakini tunatumiaje zile siku nyingine tutakazokuwa hai?
AiseeIkiwa hatimaye tutakufa, kwanini basi tulizaliwa? Tulizaliwa tufe au tulizaliwa tuishi? Kama kufa ni lazima, basi kufurahia maisha ni utashi. Yape maisha yako kusudi kisha liishi kusudi hilo. Hakika, tutakufa siku moja, lakini tunatumiaje zile siku nyingine tutakazokuwa hai?
AiseeHatuwezi kuwa bora kwa kuwashusha wengine, hatuwezi kufanikiwa kwa kuwazibia wengine, hatuwezi kuwa na amani kwa kuwakosesha wengine furaha, tusifanye makosa ya kuamini rizki zetu zinazibwa na mtu mwingine
SawaHatuwezi kuwa bora kwa kuwashusha wengine, hatuwezi kufanikiwa kwa kuwazibia wengine, hatuwezi kuwa na amani kwa kuwakosesha wengine furaha, tusifanye makosa ya kuamini rizki zetu zinazibwa na mtu mwingine