"Wale wanaomtaja Mungu kwa sababu yako wakimshukuru kwa kujibu maombi yao kupitia wewe ndio wanaopangua zile shari, nia ovu na hujuma za wale wasiokutakia mema zinazoelekezwa kwako.Huwezi kuwaepuka hawa wa pili.Wapo tu. Muhimu kila siku jitahidi ufanye usajili wa wale wa kwanza."
Tunahitaji jalala majumbani mwetu sababu ukiweka takataka ndani ya nyumba zitakuvundia, kunuka na kukuletea maradhi. Vivyo hivyo ukikaa na hofu, maumivu na maudhi kifuani mwako kwa muda mrefu bila ya kuyacheua. Hakikisha unaye wa kumcheulia. Unahitaji jalala katika maisha yako."

Watoto wako watafuata sana maisha yako na kuyaiga kuliko watakavyofuata ushauri wako kwao. Usioteshe mbegu usiyoweza kuivuna, na usipike usichoweza kukila."

Unapokuwa na matarajio makubwa kuliko hali halisi, ujue tu unajijengea mazingira ya mawazo yatakayokuumiza . Tarajia kidogo, na wakati mwingine wala usitarajie chochote".

Mwanadamu anahitaji kiasi fulani cha hatia, huzuni, aibu, wasiwasi na hofu katika kulinda utu wake. Hisia hizi hatuzipendi lakini zinatusaidia kujirekebisha na kukabiliana na misukosuko ya maisha."