Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilianza kujitambua nikiwa na umri wa miaka minne au mitano. Niligundua kuwa mikono yangu ni tofauti na ya watoto wengine na pia nilihisi sifanani na wengine," amezungumza na kipindi cha BBC cha Newsbeat.
 
Ni kama ngozi ya kifaru- ina mabaka na mipasuko, ni ngumu na isiovutia," Anna, 15, anasema.

Anna amerejea shule lakini kuna siku nyingi tu anazokumbuka ambazo huwa hataki kwenda shuleni.
 
Kuna siku ambazo ningekuja nyumbani mapema kwasababu ngozi yangu inauma kweli.

"Inakuwa vigumu kusogea, kuandika huwezi, kwahiyo sikuweza kufuatilia masomo kama inavyotakikana."
 
Nyakati za asubuhi, ugonjwa wake wa kujibambua ngozi ungeenea hata kwenye uso na kumfanya kukosa kujiamini.

'Kuna siku ambazo ninachotaka wakati huo ni kuitoa kabisa ngozi yangu'

"Sikutaka watu wanione. Nilihisi aibu."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…