antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
SawasawaKadri unavozidi kuwatangazia watu Malengo na Mafanikio yako ndipo Unapozidi kuongeza Idadi kubwa ya Maadui katika Maisha yako Jifunze kuwa Mkimya
TrueUtadharauliwa na uliowaamini, utaangushwa na uliowabeba, yatasemwa mabaya yako na wale uliojitoa kwaajili yao.Hii sio mitihani ya maisha, Bali ni MAISHA YENYEWE
SawaHakikisha una rafiki yoyote anaye kuambia ukweli, Sio hawa wa Tajiri umepoa, Tajiri huna Baya. Wewe utakua ni mtu gani usiye na Baya
SawasawaKuna Maisha fulani kama huna kitu huna lolote lazima uyapitie chini ya Amri za watu ili uje Ufanikiwe baadae bila kukuondolea utu wako na Inabidi Upunguze KIBURI uongeze HESHIMA
KweliMaisha sio sare,kila mtu ana njia zake na kila Mtu ana Muda wake wa Mafanikio,Usijiwekee pressure ya Mafanikio kwa kujilinganisha na wengine,Utakata tamaa Mapema.HATUFANANI.
HahahaTuliwapigia sana Simu zao,wakasema wapo Busy sahizi tunawaambha tupo busy wanasema Tunadharau.
YapSio kila mtu katika Maisha amefanikiwa kwa kuungwa Mkono na kusaidiwa,wengine wamefikia Ndoto zao baada ya kutengwa, kunyanyaswa,kukatishwa tamaa,kukejeliwa,- "Tutaona kama utafika" pamoja na kusalitiwa na Ndugu,jamaa na marafiki.Lakini Leo hii wamesimama Imara
👍Nyakati Ngumu huja ili kutuonyesha kwamba Sio kila nguzo iliyosimama inafaa kuegemewa
✅️✅️✅️Vichwa vya habari vya magazeti ya leo Jumapili
June 23 2024. View attachment 3023503