Anayekupa muda wake kusikiliza shida zako,anamega muda wake wa kutafuta watu wakusikiliza shida zake pia. Unapotaka watu waache ratiba zao ili wasikilize shida yako, wajengee mazingira wavutike kukusikiliza wewe na shida zako. Unaotaka wasikilize shida zako, nao wana shida zao!"