Mzunguko wa rizki ni kama mto, matawi na mikondo yake. Ukiona mgumu basi ujue aidha mto umebadili uelekeo au ulitegesha kwenye mto wa msimu." ~Togolani Mavura.

Hata tungefanana vipi, hata tungelingana vipi, hata tungezidiana vipi, kila mmoja ana upekee wake unaomtofautisha na wengine. Ujue upekee wako, ukubali, ustawishe na uruhusu uchanue. Upekee wako ndio turufu yako. Hapajakuwapo wewe kabla na hapatakaa pawepo wewe mwingine baada

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.