Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tafadhali, samahani na asante ni maneno ya dhahabu." ~Togolani Mavura.
Mi mzima namshukuru Mungu,Nzuri sana, sijui upande wako mkuu?
📌📌Ukiwa huna shughuli ya kufanya na muda wako,ni rahisi mno kutaka kuutumia muda huo kwenye maisha ya wenzako, ambao nao wanaweza kuwa na muda na mambo yao mengine. Usiwalaumu kuwa wanajitia wako bize,ni kwamba muda wao wa kutumia na wewe unapishana na wako. Tuwe tunaomba miadi!"