myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Furaha ✔️✔️Siri ya kuridhika katika maisha imejificha katika uwezo wetu wa kukinai na kuwa na kiasi. Kuridhika hutupa amani na utulivu wa nafsi zetu. Hatimaye amani na utulivu wa nafsi zetu hutupa furaha