Ukiitwa kwenye usaili,kupata au kutopata kazi kuko nje ya uwezo wako.Kilicho ndani ya uwezo wako ni kuitumia vizuri fursa kuonyesha kufaa kwako. Itumie fursa hiyo vizuri sana na kuwapa wakati mgumu ili ikibidi wakunyime, wawiwe na wajibu wa kukufikiria kwa fursa ingine mbeleni."