myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️👍Tumekutana na watu tofauti, wengine walitutoa machozi na wengine walitufuta machozi..
📌📌📌Tumekutana na watu tofauti, wengine walitutoa machozi na wengine walitufuta machozi..
✅️✅️Tulianza kutahadharishwa kimaisha pale Ambapo Kila tukimuuliza mama Kwa nini unalia alisema mwanangu kua uyaone.
SawaTumekutana na watu tofauti, wengine walitutoa machozi na wengine walitufuta machozi..
Kua uyaoneTulianza kutahadharishwa kimaisha pale Ambapo Kila tukimuuliza mama Kwa nini unalia alisema mwanangu kua uyaone.
NakubalianaJifunze kutokana na jana, ishi leo, na tumaini kesho.
Poa NakubalianaUlichotengeneza kwa kutumia akili yako mwenyewe kina Thamani kubwa sana kwako kuliko chakutengenezewa
Sawasawa kabisaUlichotengeneza kwa kutumia akili yako mwenyewe kina Thamani kubwa sana kwako kuliko chakutengenezewa
AiseeKuna nyakati Inakubidi ukae kimya hata kama upo sahihi amani Yako ni Bora zaidi kuliko Mashindano
MuhimuMuda tulionao kweli ni kwamba kila mtu yupo bize na maisha yake na matatizo yake akitokea mtu kukuonyesha juhudi ya kukufanya utabasamu basi mthamini sana huyo
Nakubaliana na hili piaThamani yako haipimwi na wengine, bali na wewe mwenyewe.
Kweli kabisaUlichotengeneza kwa kutumia akili yako mwenyewe kina Thamani kubwa sana kwako kuliko chakutengenezewa
Maamuzi muhimuHatima ya maisha yako ipo mikononi mwako, hivo kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako
✔️👍Hatima ya maisha yako ipo mikononi mwako, hivo kuwa masikini au tajiri ni maamuzi yako
Ni sahihiUsiwasahau wanaokupa faraja na kukupa moyo hao ndio chachu ya mafanikio yako ya baadae
📌📌📌Ulichotengeneza kwa kutumia akili yako mwenyewe kina Thamani kubwa sana kwako kuliko chakutengenezewa