myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Anorexia ni moja ya tatizo kwenye afya ya akili ambayo hutajwa kuwa na hatari mara 04 zaidi ya depression.
Anorexia huathiri saikolojia, ambapo mtu hupatwa na uoga unaomfanya kupunguza ulaji wa chakula kwa kiasi kikubwa kwa kuhofia kuongezeka uzito au kupata mabadiliko ya mwili.
InawezekanaTafiti: Kunywa maziwa mtindi mara kwa mara unasaidia usizeeke vibaya!
SawaAnorexia ni moja ya tatizo kwenye afya ya akili ambayo hutajwa kuwa na hatari mara 04 zaidi ya depression.
Anorexia huathiri saikolojia, ambapo mtu hupatwa na uoga unaomfanya kupunguza ulaji wa chakula kwa kiasi kikubwa kwa kuhofia kuongezeka uzito au kupata mabadiliko ya mwili.
SawasawaFormication ni hali ya kujihisi wadudu wanakutembea mwilini kumbe sio!
Baadhi ya sababu; Kuacha kutumia dawa (kama ulikua mraibu), tatizo la afya ya akili, changamoto katika ubongo, etc.
📌📌Kwenye maisha utakuja kugundua kwamba kupenda wengine ni jambo zuri
Ila kupenda wengine ukajisahau kabisa kujipenda wewe ni mbaya zaidi.
SawaMaisha ni mazuri unapokuwa mwenye furaha lakini ni mazuri zaidi pale ambapo wengine wanakuwa wenye furaha sana, kwasababu yako
📌✔️📌Maisha ni mazuri unapokuwa mwenye furaha lakini ni mazuri zaidi pale ambapo wengine wanakuwa wenye furaha sana, kwasababu yako
✅️✅️Maisha ni mazuri unapokuwa mwenye furaha lakini ni mazuri zaidi pale ambapo wengine wanakuwa wenye furaha sana, kwasababu yako
SawaMaisha ni mazuri unapokuwa mwenye furaha lakini ni mazuri zaidi pale ambapo wengine wanakuwa wenye furaha sana, kwasababu yako
✅️✅️✅️Nibora kujikwaa kidole, kuliko kujikwaa Ulimi
📌📌📌Siku Zote Pambana Sana Na Maisha kiasi kwamba kutokuwepo kwa Mtu Flani Kusiathiri Maisha Yako
SawaNibora kujikwaa kidole, kuliko kujikwaa Ulimi
SawasawaNibora kujikwaa kidole, kuliko kujikwaa Ulimi
SawasawaSiku mpya ni zawadi, tumia kila dakika kwa busara na uweke juhudi zako zote. Maisha yako yanastahili kupiganiwa..
SawaMaisha yana mafumbo Mengi sana na sio lazima uyatafutie ufumbuzi yote kwa maana hauko duniani kujibu kila mtihani chagua wako ishi nao
✅️✅️✅️Jifunze kuwa karibu na wanaokuzidi uwezo kuna mengi ya kujifunza
SawasawaKatika nyakati ngumu ndio inapaswa kumshukuru Mungu sana kuliko nyakati za furaha,
SawasawaJifunze kuwa karibu na wanaokuzidi uwezo kuna mengi ya kujifunza
✔️📌✔️Katika nyakati ngumu ndio inapaswa kumshukuru Mungu sana kuliko nyakati za furaha,
SawsSiku mpya ni zawadi, tumia kila dakika kwa busara na uweke juhudi zako zote. Maisha yako yanastahili kupiganiwa..