myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππPunguza kujielezea sana kwao, elewa hakuna mtu aliefuta number zako/kukusahau, ni vile wewe kipato chako hakipo sawa na wao, hivyo kwa sasa jitafute ili ujipate baadae wao ndio watakutafuta baada ya kuona wewe umeshajipata
β οΈβ οΈβ οΈPunguza kujielezea sana kwao, elewa hakuna mtu aliefuta number zako/kukusahau, ni vile wewe kipato chako hakipo sawa na wao, hivyo kwa sasa jitafute ili ujipate baadae wao ndio watakutafuta baada ya kuona wewe umeshajipata
βοΈβοΈβοΈHakikisha unakuwa na pesa haijalishi umezipata wapi.. Umasikini unadhalilisha mno
SawasawaHaijalishi unatembea polepole kama kobe au kwa kasi kama twiga; muhimu ni kuendelea mbele. Kila mtu ana safari yake, na kila hatua, iwe ndogo au kubwa, ina thamani. Msemo "MWENDO WA KOBE, HATUA ZA TWIGA" inatukumbusha kwamba jitihada zetu zote zina maana.
β οΈβ οΈβ οΈHaijalishi unatembea polepole kama kobe au kwa kasi kama twiga; muhimu ni kuendelea mbele. Kila mtu ana safari yake, na kila hatua, iwe ndogo au kubwa, ina thamani. Msemo "MWENDO WA KOBE, HATUA ZA TWIGA" inatukumbusha kwamba jitihada zetu zote zina maana.
β οΈβ οΈβ οΈMachozi yako futa kwa mikono yako mwenyewe, ukitegemea mikono ya watu walimwengu wanaweza kukupa pili pili ili uzidi kulia zaidi.
SawasawaHaijalishi unatembea polepole kama kobe au kwa kasi kama twiga; muhimu ni kuendelea mbele. Kila mtu ana safari yake, na kila hatua, iwe ndogo au kubwa, ina thamani. Msemo "MWENDO WA KOBE, HATUA ZA TWIGA" inatukumbusha kwamba jitihada zetu zote zina maana.
πππHakikisha unakuwa na pesa haijalishi umezipata wapi.. Umasikini unadhalilisha mno
β οΈβ οΈβ οΈHakikisha unakuwa na pesa haijalishi umezipata wapi.. Umasikini unadhalilisha mno
SawaHata Kama Unadharaulika Usikate Tamaa, Amini ipo Siku Utaheshimika Na Kuwa Msaada Kwao, Hata Nguo iloyochoka Kuna Wakati inatumika Kufuta Vumbi
SawaUkitaka kuwa na pesa Kuna vita zingine hazihitaji maamuzi ya Mwenyezi Mungu bali ni roho Ngumu na maamuzi ya kiume katika kutenda.
SawasawaKwenye maisha yakupasa kumpenda na kumjali kila mmoja ila hakikisha unajipenda wewe zaidi kwa maana upo kwa ajili Yako
SawaKwenye maisha yakupasa kumpenda na kumjali kila mmoja ila hakikisha unajipenda wewe zaidi kwa maana upo kwa ajili Yako
SawasawaKwenye haya maisha kutafuta pesa ni jambo moja na kuitunza hiyo pesa ukishaipata ni jambo jengine haswa ukiwa kijana
SawaKwenye haya maisha kutafuta pesa ni jambo moja na kuitunza hiyo pesa ukishaipata ni jambo jengine haswa ukiwa kijana
AiseeMastaa wakongwe wa muziki watimiza miaka 80.
Happy Birthday kwenu nyote wawili
View attachment 3015048