myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KweliDhiki moja isiku sahaulishe neema elfu
AiseeMagazeti ya leo View attachment 3118322
KweliBila kufanya Juhudi katika kutafuta tonge lako ni hasara mana Kuna watu watakuja kudalalia nguvu Yako Ili kunyima furaha Yako ya siku nzima
SawaMwanaume Akiwa Maskini Ni Mzigo Wa Mkewe Na Watoto Ila Akifanikiwa Ni Mtoto Wa Ndugu Na Ukoo.
Kweli kabisa hiliDhiki moja isiku sahaulishe neema elfu
📌📌Laiti kama wangetupa nafasi ya kutujua na kutusikiliza huenda wasinge tuhukumu kwa habari walizozisikia kuhusu sisi__
✅️✅️Weka mipaka yako Unavyojiweka ndivyo watu watakavyoishi nawe
NtahakikishaHakikisha historia ya maisha yako haiwezi kujirudia kwa watoto wako amka kapambane shujaa
SawaMungu tunaomba utusaidie tupatapo shida katika kutafuta riziki, shida izo ziishe bila kuwaumiza tunaowapenda na wanaotutegemea
SawaMungu tunaomba utusaidie tupatapo shida katika kutafuta riziki, shida izo ziishe bila kuwaumiza tunaowapenda na wanaotutegemea
Mungu mkuu....Mungu tunaomba utusaidie tupatapo shida katika kutafuta riziki, shida izo ziishe bila kuwaumiza tunaowapenda na wanaotutegemea
AiseeMapambano yetu yamejaa kona nyingi,yamejaaa mabonde na milima, yamejaaa mateso na mihangaiko mingi.Mungu wetu wa mbinguni katufungulia njia katuonesha upendo wa dhati juu ya safari yetu.
✔️✔️Mapambano yetu yamejaa kona nyingi,yamejaaa mabonde na milima, yamejaaa mateso na mihangaiko mingi.Mungu wetu wa mbinguni katufungulia njia katuonesha upendo wa dhati juu ya safari yetu.
AiseeMatokeo yako ya nyuma ni ya zamani tu, hayaelezi unakoelekea;Kila siku ni fursa mpya ya kuandika upya hadithi yako, na kwa mawazo yanayofaa, siku zijazo huwa na uwezekano usio na kikomo.
Ni kweliMatokeo yako ya nyuma ni ya zamani tu, hayaelezi unakoelekea;Kila siku ni fursa mpya ya kuandika upya hadithi yako, na kwa mawazo yanayofaa, siku zijazo huwa na uwezekano usio na kikomo.
🙏🤲Asante Mungu kwa wiki mpya, tunapoenda kupambana tujalie baraka nguvu na ushindi siku ya leo.