myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππNakukumbusha Tena kuwa hata wale wanaokuchukia watahuzunika na kukusifu kwa mazuri wakati ukiwa umekwisha kufa..Lakini Kiburi na majivuno jitahidi kuviepuka kwa kuzidi kumuomba mwenyezi MUNGU akupe Mwisho mwema..
πππWapo watakao kwambia Mimi Nina roho nzuri na wengine wapo watakao kwambia Mimi Nina roho mbaya wote wapo sahihi Kwa Sababu Mimi huwa namtendea mtu sawa na Alivyo nitendea yeye
SawaWapo watakao kwambia Mimi Nina roho nzuri na wengine wapo watakao kwambia Mimi Nina roho mbaya wote wapo sahihi Kwa Sababu Mimi huwa namtendea mtu sawa na Alivyo nitendea yeye
Ni kweliUsipoichosha Akili Yako We Mwenyewe, Wenye Akili Wataichosha
ππMwaka ndio huo uko ukingoni shukuru Mungu kama lengo lako la huu mwaka limefanikiwa. Mwakani pia uwe na lengo la kutimiza naamini mungu hutusikiliza na kutuwezesha kikubwa ni sisi kujitoa kujituma kwa ajiri ya kukamilisha malengo yetu.
MuhimuNi vyema kupambana bila kujali elimu uliyonayo
Muhimu piaMwaka ndio huo uko ukingoni shukuru Mungu kama lengo lako la huu mwaka limefanikiwa. Mwakani pia uwe na lengo la kutimiza naamini mungu hutusikiliza na kutuwezesha kikubwa ni sisi kujitoa kujituma kwa ajiri ya kukamilisha malengo yetu.
βοΈβοΈβοΈUmekuwa ukielekeza mawazo yako wapi hivi karibuni? Katika kupigana vita vyako au kuishi katika wito ambao Mungu anakuita?
Badilisha mtazamo wako kuelekea pale Mungu anakukuza, si pale adui anakuvuruga.
β οΈβ οΈβ οΈUmekuwa ukielekeza mawazo yako wapi hivi karibuni? Katika kupigana vita vyako au kuishi katika wito ambao Mungu anakuita?
Badilisha mtazamo wako kuelekea pale Mungu anakukuza, si pale adui anakuvuruga.
UjumbeMaisha ya sasa watu wanakuumiza alafu wanajifanya kwamba wewe ndio umewaumiza zaidi.
Na wanatumia nguvu kubwa zaidi kuwaaminisha watu wengine kuwa wewe ndio tatizo.
ππKila wakati tunapokutana na hofu katika mambo yetu mbali mbali tunajipa matumaini na ujasiri na hatima yake ni kupata nguvu na kujiamini ili kukabiliana na ile hofu
AiseeMarafiki bandia ni kama vivuli. wana kufuata juani na kukuacha gizani.
SawaHakuna MTU anaeweza kuvumilia shida zako ni vile MUNGU katuumba kushindwa kutambua nini tunawaza ndani ya mioyo yetu
SawaAcha kuweka umuhimu zaidi kwenye kile unachokiona kuliko kile Mungu anachosema.
Geuza mawazo yako kuelekea kwenye kusudi ambalo Mungu anaweka juu ya maisha yako.
β οΈβ οΈA positive mindset can turn obstacles into opportunities
βοΈβοΈMashindano mazuri ni yale ya kushindana na nafsi yako katika kuepuka kufanya mambo yatakayokuingia kwenye umaskini na majuto na sio kushindana na watu
ππUaminifu wako ndio utakaokupatia watu wa kukusogezea fursa