[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waganga wana kazi nzuri sana. Imagine kila siku mtu unakula kuku tu dah!Ukimuona Kuku kwa mganga ujue Rangi yake ndio imemponza!!
Nashukuru kwa kumtilia wasi wasi Muafrika.Kwa kiasi kikubwa jamii yetu imetawaliwa na chuki,yaani mimi andjul kumchukia shimba ya buyenze hata haichukui hata dakika,chanzo cha kumchukia mwenzangu? Hamna, basi tu.Tukipona ugonjwa huu tutafika mbali sanaAmen (japo sina uhakika kwa sababu Mwafrika naye ukimwangalia yaani yupo yupo tu...)
Mmmh! Mkuu naona umekua mbunifu wa kujiliwaza na kujipa matumaini!!Usijidharau! Wakati Kemet kuna civilization wazungu walikuwa kama wanyama Europe!
Kila kitu na wakati wake chini ya Jua! Trust me!
Nzuri mkuuHabari wakuu