Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo ni necha ya kila mnyama hapa duniani. Kwa wanyama wengine ukiona wanagombana basi ama wanagombania chakula, makazi au mapenzi. Sisi na akili zetu kumchukia mtu wala haihitaji sababu ya maana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…