Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2398.JPG
 
Mmmh! Mkuu naona umekua mbunifu wa kujiliwaza na kujipa matumaini!!

Binadamu zamani walitembea uchi kwa kukosa nguo,Siku hizi watu wanatembea uchi japo nguo zipo!

Mwanamke akijistiri kwa mavazi ya heshima anaitwa mjima na mshamba! ila anaye tembea uchi anaitwa ni wasiku hizi!!

Lakini kiukweli ni kwamba yule anayetembea nusu uchi ndio mjima na ni wa kizamani na anayejistiri ndio wasikuhizi na ndiye aliyeendelea.
Maneno kuntu, [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] makofi kwako[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom