Picha kali
Kitabu cha wahengacarbamazepine mbona glass sijaona.
Ila najua nimeona nini hivi nimeona nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umesemaaa??Na nduguyo pia carbamazepine njoo hapa
Hapa nilipo kuna joto ambalo sijawahi ona aisee. Humidity ni 100% na dakika moja tu shati lishalowa. Afadhali baridi kwa kweli ila isiwe ile ya kuunguza mapafu!Zuri, I love baridi
Hhaahha macho macho
Aiseeeh macho na mnyonge wqke
Nasikia Maryland ni joto la hatareeeHapa nilipo kuna joto ambalo sijawahi ona aisee. Humidity ni 100% na dakika moja tu shati lishalowa. Afadhali baridi kwa kweli ila isiwe ile ya kuunguza mapafu!
Unamaanisha kua wewe ni kichaa??au mimi??ufafanuzi puliiizii[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhaaha carbamazepine
Umeona watu wangapi?Picha kali
Hahahaha kabisa maana sijakutia machoni kitambo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nzuri kabisa,nadhan ni za mwaka jana usiku😀😀
15:1614:38
Rooney ana kwa ana na muhenga wa dar anacheeeka kana kwamba anamjua!!