Ukoloni mambosasaUkoloni mamboleo
ho chi minh kumbe carbamazepine hajanisahau maana hii tulipiga enzi za ujana wetu.[emoji23][emoji23][emoji23]huyo wa upande wa kulia ndio wewe??
Kabisa nikikumbuka baada ya hiyo sherehe hiyo miwani uliazima ukaenda na kimwana hadi leo mzee mwenzangu hujarudisha miwaniMiwani ilikukaa sana mkuu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Teh teh tehNimeona msambwanda na nanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Fununu?Kuna fununu wamebaki wachache dunia?
Kwema mkuuKwema humu ndani..
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Uchumi mbovu hayo hayo yatapunguzwa nitaonekana kidogo naenda na wakati,Mzee mwenzangu unataka upunguze hayo makoti yenye mpasuo nyuma kuwa modal.
Hayo makoti tunayaita kajamb* nani.
Mi nilichoma moto nimebakiza moja la kuzamia vikao vya harusi na harusi mzee mwenzangu.