Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Ngoja nikadukue hukoYeah nenda MMU kuna thread kuhusi kifo cha marehem ni utata tupu so jamaa kajinunulia kesi. Marehem hakujiua alipigwa
Mie mzima,Dogo Ho chi minh hujambo
Nauza mawigi[emoji38][emoji38][emoji38]Uchumi mbovu hayo hayo yatapunguzwa nitaonekana kidogo naenda na wakati,
Tatizo ni hiki kipara
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Karibu mpaka chumbaniHodiiiiii
AMUN RAIt is better to conquer yourself than to win a thousand battles. Then the victory is yours. It cannot be taken from you, not by angels or by demons, heaven or hell.
Buddha
Andjul kanishitaki kwa kakako SHIMBA WA BUYENZE na ndugu yako carb, wananisakama kuwa nataka kumpora mkeAsante, nikipona ntakuja kuchukua ng'ombe watatu advance kwanza hahahah
End
Wameshika nafasi ya tatu kutoka mkiani kwa uzembe [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha