Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mjukuu wangu kamwe usi thubutu kumuomba mungu akupe maisha kama ya mtu flani kwasababu huwezi jua anayo yapitia, Siku zote ombea maisha yako" Busara za babu
 
Busara ipo kwenye moyo maarifa yapo kichwani, unapofikiri au kutenda aanzia kwenye moyo ndio upande kichwani....utatenda vyema daima
 
"Kila siku inaleta fursa mpya za kujifunza na kukuza. Usikate tamaa na endelea kutembea kwa imani na kujiamini. Kumbuka, safari ya maisha ni hatua kwa hatua. Hakuna jambo lisilowezekana
 
Ukweli mchungu kuhusu maisha Si kila mtu ana moyo kama wako. Si kila mtu ni mwaminifu kwako kama ulivyo kwao. Utakutana na watu watakaokutumia kwa faida yao na kisha kukuacha mara wanapotimiza wanachohitaji. Kuwa macho
 
"DUNIA ya sasa ni kama MBUGA kwahiyo chagua wewe kupambana kama CHUI au kukimbia maisha yako yote kama swala
 
Busara sio kujua tu kipi cha kusema ila pia wakati gani wa kusema, nani wa kumuambia na kwa sauti ipi. Pia maneno yapi ya kutumia katika kusema utakachosema. Vile vile kutokusema ni busara na wengi wanaikosa
 
Uzuri wa kiburi ni namna kinavyokujaza ujasiri wa kuamini wewe ni jeshi la mtu mmoja—self made. Kikishafanikiwa kukufumba macho vizuri kinakutenganisha na kila unayemhitaji ili ufanye makosa bila usumbufu.
 
Kijana jitambue,jipende,kubaliana na misimu ya maisha ya mwanaume; kwa upendo na busara ukubali nafasi yako mpya kwenye familia, kisha uendelee na hatua nyingine za maisha na tiba.
 
Hakuna Mtu aliyefanikiwa akazungumziwa Vizuri na watu wote,Usisahau kuomba Busara za kuwa Mkimya na Mvumilivu kwa MUNGU wako Unapoomba Utajiri
 
Maisha ni vita, hata uwe na sababu nyingi za kwanini huwezi hayatakuacha salama, maisha ni vita visivyo na huruma hata kidogo, ukiwa mnyonge utapotezwa, utakanyagwa na kufa kama hutapambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…