Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kweli“Pesa inakupa uhuru wa kuchagua. Watu hawatafuti pesa ili wawe matajiri, wanatafuta pesa ili wawe na uwezo wa kuchagua.” - Trevor Noah
Sawasawa...Tumbo lenye njaa, mifuko mitupu na moyo ulioumizwa vinaweza kukupa funzo bora la maisha.” - Robin Williams