myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaNjia bora ya kupata umakini wa watu ni kuacha kuwapa umakini wako
📌📌📌Ukishakuwa mtu mzima kila kosa unalolifanya kwenye maisha yako kuna namna utalilipia kwa kutoa pesa tu.
✔️✔️Hakuna zawadi nzuri utaipata kwingine kama UHAI na AFYA njema inayotoka kwa Mungu
✅️✅️✅️Usije ukamnyima mzazi wako fedha kwa kisingizio cha malengo, Kuna kipind nae alishindwa hata kununua nguo za kupendeza ili ule na kusoma
✅️✅️✅️Unaweza kuwa na Elimu ila ukakosa akili na unaweza kuwa na akili ukakosa elimu.
✅️✅️✅️Unaweza kuwa na Elimu ila ukakosa akili na unaweza kuwa na akili ukakosa elimu.
✔️✔️✔️Kama vile kilio cha mtoto kinavyo vuta umakini wa mama yake ndivyo maombi yako yatakavyo mvuta Mungu karibu yako zaidi
NakubalianaKama Mafanikio Yako Yanategemea Kuumiza Wengine. Basi Tambua Anguko Lako Liko Karibu Sana.
✅️✅️✅️Ukishakuwa mtu mzima kila kosa unalolifanya kwenye maisha yako kuna namna utalilipia kwa kutoa pesa tu.
📌📌📌Kama vile kilio cha mtoto kinavyo vuta umakini wa mama yake ndivyo maombi yako yatakavyo mvuta Mungu karibu yako zaidi