Watu watakuja na kuondoka kwenye maisha yako. Usijihusishe kihisia kupita kiasi, kwa sababu wanapoondoka, maumivu yatakuwa makali zaidi kuliko moyo uliovunjika

Pesa haikosi washauri. Ukiipata, utapata washauri wengi ambao hukuwaona wakati unazitafuta. Watakuletea mipango mizuri ya pesa wakati ama wenyewe hawana pesa au hawako tayari kujaribisha mipango hiyo mizuri na pesa zao. Waogope" ~Togolani Mavura.