Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pesa haikosi washauri. Ukiipata, utapata washauri wengi ambao hukuwaona wakati unazitafuta. Watakuletea mipango mizuri ya pesa wakati ama wenyewe hawana pesa au hawako tayari kujaribisha mipango hiyo mizuri na pesa zao. Waogope" ~Togolani Mavura.
Pesa na washauri....
 
Nakubaliana na hili
 
Ujumbe huu muhimu
 
Sahihi pia
 
✅️✅️✅️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…