Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuwa na mahusiano mazuri na majirani,marafiki,ndugu na jamaa
Wafanyakazi wenzako au wafanya biashara wenzako
 
LENGO LA KIIMANI: Kurudi kwa muumba wako, kutubu na kujikurubisha kwake, kusafisha na kuwa huru. Kupunguza kufanya madhambi na kuongeza matendo mema, shukrani, ukarimu na upole. Kufanya ibada na kuongeza maombi.
 
Hauwezi kupata furaha kama unaishi huku unaangalia wenzako wana nini ambacho hauna, utaishia kuhuzunika tu kwasababu utagundua una vitu vingi hauna, utagundua kasoro ulizonazo na utajiona mdhaifu lakini utasahau kama unavitu vingi ambavyo hata wao hawana
ISHI MAISHA YAKO
 
Watu wengi hawajui wanahitaji nini wakiwa na ndoto za kutimiza kitu fulani, maisha hayapo hivyo
1.Kama haujui unataka nini kamwe hautopata unachokitafuta
2. Ili ujue unachokitaka lazima utambua unamapenzi na kitu gani,unakiweza kwa kiasi gani na kwa namna gani sio ngumu kukifanya
 
3. Usipokuwa makini kwenye kujua unachokitafuta basi utaishia kukimbiza vitu ambavyo havikuhusu
4.Hakuna asiyependa kufanikiwa ila wengi tunaishia kwenye kuota ndoto, baadhi wanakwama Kwenye mchakato, na watu wachache sana ndio wanajitoa na kupambana kwa jasho kupata mafanikio
 
Kuwa sababu ya mtu mwengine kufurahi, haujui kwa kiasi gani watu wamebeba maumivu ambayo hayaelezeki lakini bado wanaamua kuwa wema kwa watu wengine basi na wewe kuwa sababu ya tabasamu lao na cheka nao
 
Hautazuia meli isizame ila haujazuiwa kuogelea ili uokoe maisha yako, kamwe hauwezi kuzuia matatizo kuja kwako ila unatakiwa ujitetee na upambane yasikuangamize. Hata kama unapitia changamoto kiasi gani usikate tamaa kwasababu wewe ndio shujaa wa maisha yako mwenyewe jipambanie
 
Kuwa sababu ya mtu mwengine kufurahi, haujui kwa kiasi gani watu wamebeba maumivu ambayo hayaelezeki lakini bado wanaamua kuwa wema kwa watu wengine basi na wewe kuwa sababu ya tabasamu lao na cheka nao
πŸ“ŒπŸ“Œ
 
πŸ“ŒπŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…