Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6. Ukifanikiwa kuwa na familia usiitelekeze kumbuka kuna watu wapo wapweke wanatamani hata wangelikuwa na familia ya kukodisha
 
Ukiwa na biashara yenye mafanikio usianze kudharau wateja kumbuka kuna wenzako wanatumia nguvu na gharama kubwa kupata hao wateja
 
6. Ukifanikiwa kuwa na familia usiitelekeze kumbuka kuna watu wapo wapweke wanatamani hata wangelikuwa na familia ya kukodisha
 
Kwenye haya maisha kuna namna inabidi ujitambue wewe ni nani, unahitaji nini na ukiwa wapi, hivyo basi
1. Jitambue sifa zako za kipekee ambazo mtu akitaja hizo sifa basi kakutaja wewe (strengths) na tambua madhaifu yako ili yasije kukugharimu
 
2.Usione aibu kwenye kutafuta hela hakuna aibu kubwa kama kukosa hela,kuomba aibu ya 2 na kunyimwa aibu ya 3. Cha msingi unatafuta kihalali usione aibu
 
3.Usichoke kupambana kwasababu hakuna mafanikio rahisi katika maisha haya,mafanikio yanagharama zake hivyo usichoke kuvuja jasho
 
4. Usiwalazimishe watu wanaotaka kuondoka waendelee kuwa kwako, waache waende ili wengine wakuletee baraka mpya, hauwezi jua labda kuondoka kwao ndipo kutafungua milango yako ya mafanikio
 
Fursa ni dhamana kubwa Ukiaminiwa, itumie kwa uaminifu na bidii. Kazi zako nzuri ndizo zitakazokutangaza na kukufungulia milango katika vyumba vilivyojaa fursa
 
Fursa ni dhamana kubwa Ukiaminiwa, itumie kwa uaminifu na bidii. Kazi zako nzuri ndizo zitakazokutangaza na kukufungulia milango katika vyumba vilivyojaa fursa
 
Ipo siko maombi yako yatajibiwa, hustle zako zitafanikiwa, jasho lako litakaukia kivulini,Chozi lako litafutwa,kiu yako itakatika, utapata mtu atakaekupenda kwa dhati na hautakumbuka maaumivu ya nyuma, upe muda nafasi yake na kuwa mvumilivu kila kitu kitakuwa sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…