Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8.Ukiipoteza thamani yako,utajo wako na uhalisia wako ujue umepoteza kila kitu,hautajua dira ya maisha yako,hautajua unahitaji nini
 
WAKATI MUHIMU KATIKA MAISHA YAKO NI WAKATI ULIONAO SASA HIVI
1. Usifikirie sana kuhusu yaliyopita kwasababu hakuna utakachoweza kubadilisha zaidi ya kuhuzunika
 
2. Usifikirie sana kuhusu yajayo kwasababu bado haujafika, Kesho ni fumbo na hauna uhakika kama utafika au laa
 
.Shukuru na ufurahie kila dakika unayoipata katika maisha yako, kwasababu ukitoka nyumbani salama na ukarudi salama ni mafanikio makubwa zaidi ya vitu ulivyovitamani na ukavikosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…