Dini mara nyingi huwafanya watu kuwadharau wengine ambao wana imani tofauti na kukuza chuki kwa wengine. Usiruhusu dini au imani zikuzuie kuwapenda na kuwahurumia wengine

Ikitokea umekutana na mtu sio ndugu yako, Sio jirani yako, sio mtu wako wa karibu ila Akakupa msaada Basi jitahidi kuonesha utu na shukrani, Mbona Umejaaliwa ndugu matajiri na majirani wenye uwezo Lakini Hawana msaada na Wewe.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.