Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapende wanaokuja maishani mwako na heshimu maamuzi ya wanaoondoka kwenye maisha yako,kumbuka si kila mtu uliyeishinae kwa muda mrefu basi atakuwa na wewe daima,na sio kila uliyempenda ataishi na wewe milele. Jifunze kukubali kuachwa,kukataliwa na kuwa disappointed utapona haraka
Ujumbe muhimu
 
watu wengi hutumia fedha zao kwa hisia na si kwa akili na huishia kwenye kujutia na madeni, kumbuka ya kwamba "UNATUMIA FEDHA AMBAYO HAUNA KWENYE VITU AMBAVYO HAUVIHITAJI ILI UWAVUTIE NA KUWAKOMESHA WATU AMBAO HAWANA MUDA NA WEWE"Shindana kwenye kutafuta na si kwenye matumizi
Ujumbe muhimu
 
Back
Top Bottom