Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huwezi kusimama peke yako na kudumu kwenye mafanikio makubwa kwa muda mrefu bila kuwa na watu pamoja na mifumo itakayo kubeba na kukusaidia kustawi
 
HAUWEZI KUWA NA FURAHA KAMA UNA VITU HIVI

1.Kama utakuwa unalalamika sana kuliko kuwajibika kwenye matendo yako na maamuzi yako
 
.Kama unahuzunika sana kwa ulivyovikosa na haushukuru kwa ulivyonavyo, hali uliyonayo na hapo ulipo
 
Kama umezungukwa na watu TOXIC, wanalaumu sana, wanalalamika sana, wanakushutumu, wanakuzushia uongo
 
Kumpenda mtu ni jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wako lakini kupendwa na mtu kama unavyompenda yeye ni jambo ambalo lipo nje ya uwezo wako. Hiyo basi ukiona mtu hakupendi usihangaike na yeye utakuwa unajichosha bali badilisha uelekeo wa hisia zako na Uamue kuachana nae.
Sawasawa ✔️ ✔️
 
Sahihi
 
Back
Top Bottom